Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada
ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda!
Muigizaji huyo aliwahi kunukuliwa akisema ingawa ameachana na Diamond bado ataendelea kupenda muziki wake.
Video yake inayomuonesha akiuimba wimbo huu ilisambaa kutoka kwenye mtandao wa Snapchat.
Post a Comment