Rais Magufuli alivyomsimamisha kazi boss wa NIDA na wengine wanne…(+AUDIO)


Jan 25 16 Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  Dickson Maimu, hapa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatolea ufafanuzi mzima wa hatua hiyo.

No comments:

Post a Comment