Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi
kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya
kuzalisha movie zao badala yake wameamua kuanzisha mahusiano mapya na
watoto zaidi kila kukicha.
Kupitia akaunti yake ya Twitter Madee aliandika ujumbe huu:

Kupitia akaunti yake ya Twitter Madee aliandika ujumbe huu:

Skuiz wadada wa bongo move..hawazalishi tena move mpya…wanaanzisha mausiano mapya na watoto kila kukicha..

Post a Comment