SUGU AMCHANA WAZIRI MALIMA

Mh. Joseph Mbilinyi amefunguka wazi na kutoa hisia zake juu ya Waziri Malima, alisema
"...HAKUNA WAZIRI MPUMBAVU KAMA BWANA MALIMA ANAYESAFIRI NA SILAHA ZA VITA KWENYE ZIARA ZA KIKAZI..,ETI ANASEMA MIMI,MCH. MSIGWA NA SILINDE TULISHINDA KWA BAHATI KWENYE MAJIMBO YETU...!!!SASA NATAKA NIMWAMBIE KUWA MBEYA HATUBAHATISHI,LABDA HUKO KWAO MKURANGA AMBAKO SIFA YA YEYE KUCHAGULIWA NI JINA LA BABA YAKE MAREHEMU KIGHOMA MALIMA...NA KUTHIBITISHA BWANA MALIMA NI BOYA LINALOBEBWA NA HANA SIFA ZA UONGOZI,NDIO MAANA DAIMA ANABAKI KUWA NAIBU WAZIRI BILA KUPANDISHWA KUWA WAZIRI KAMILI KWANI HANA UWEZO WA UONGOZI BALI KIKWETE ANAMBEBA TU..."

Post a Comment

أحدث أقدم