Meneja wa
Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam,
kesho kwaajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,
Jonson Geter wa kwanza kutoka kushoto akiwa ndani ya Viwanja vya
Leaders tayari kwa kushuhudia maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa
kufanyika kesho kutwa katika viwanja hivyo,katika ni mmoja wa jamaa
zake aliyoambatana nao kutoka marekani na kulia ni Mtangazaji wa Clouds
TV Shadee.
Baadhi ya
vifaa vinavyotumika kuunganisha jukwaa hilo vikiwa chini wakati mafundi
wakiendelea kuchapa kazi ili kuhakikisha mambo yanamalizika kabla ya
siku ya shoo kufikiwa.
Sehemu ya mbele ya jukwaa hilo itakavyokuwa mara baada ya shughuli nzima ya kujenga jukwaa hilo kukamiika.(P.T)
Mafundi wa jukwaa hilo wakiendelea kukomaa hadi kieleweke kabla ya kufika siku ya tukio rasmi.
Mmoja wa mafundi hao akiwa juu ya nguzo.
Meneja wa
T.I Jonson Geter kushoto, akiwa katikapozi na Mtangazaji wa Clouds TV
Shadee wa kwanza kulia, katikati ni mmoja wa jamaa zake alioambatana
nao.
HABARI/PICHA:MUSA MATEJA/GPL
إرسال تعليق