- Wachezaji wa England wakimpongeza Lescott wa pili kushoto baada ya kuifungia Three Lions bao la kuongoza dakika ya 30 dhidi ya Ufaransa
huu katika mechi ya Euro 2012. Timu hizo zimetoka 1-1 baada ya Samir
Nasri kuisawazishia Ufaransa dakika ya 39. Lescott na Nasri wote ni
wachezaji wa manchester City ya England. Mechi kati ya Ukraine na Sweden inafuatia hivi karibuni.
|
Post a Comment