MAN UNITED WAFIKA BEI YA VAN PERSIE ARSENAL, FERGUSON AZUNGUMZA NA WENGER MWENYEWE KUMUHAKIKISHIA
KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amezungumza moja
kwa moja na kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kujaribu kumuhakikishia yuko
tayari kutoa pauni Milioni 20 kwa ajili ya mshambuliaji wa Kiholanzi,
Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 29.
Post a Comment