MAN UNITED WAFIKA BEI YA VAN PERSIE ARSENAL

MAN UNITED WAFIKA BEI YA VAN PERSIE ARSENAL, FERGUSON AZUNGUMZA NA WENGER MWENYEWE KUMUHAKIKISHIA

Manchester United hope to sign Robin van Persie before the Premier League begins this weekendKOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amezungumza moja kwa moja na kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kujaribu kumuhakikishia yuko tayari kutoa pauni Milioni 20 kwa ajili ya mshambuliaji wa Kiholanzi, Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 29.
Habari kamili: Daily Mail

Post a Comment

أحدث أقدم