![](http://www.csmonitor.com/var/ezflow_site/storage/images/media/content/2012/1024-momentum-builds-gaza-secede-israel-west-bank/14120671-1-eng-US/1024-momentum-builds-gaza-secede-israel-west-bank_full_600.jpg)
ISRAEL/PALESTINA, Majeshi ya Palestina yamerusha maroketi zaidi
ya 40 kuelekea Israel hapo jana huku isarel na wenyewe wakifanya
mashambulizi ya anga kuelekea Ukanda wa Gaza.
Kwa mujibu wa hospitali huko Gaza zimesema kuwa Wanajeshi watatu
waliokuwa wakijiandaa kufanya Shambulio la Roketi waliuawa Wna wenginei
wengine wanane kujeruhiwa, huku shambulio kuelekea Israel likijeruhi
watu kadhaa.
Mashambulio hayo yamefuatia mwanajeshi mmoja wa Israeli kujeruhiwa vibaya katika Shambulio la Bomu alipokuwa akifanya Doria mpakani Kissufin eneo la Gaza hapo juzi.
Chama cha Hamas kimethibitishwa waliouawa kuwa wanajeshi wake huku waziri Mkuu wa Israeli Benjamini Netanyahu akiahidi kulipa kisasi kwa Gaza amabao amewatuhumu kuungwa mkono na Tehran.

Post a Comment