DAYNA ALIZWA NA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA CHUO DODOMA


DAYNA NYANGE MKALI WAO Mwanamuziki wa mziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri ktk mziki huwo Dayna Nyange mkali wao amefunguka na kulaani kitendo cha mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha St JOHN cha Dodoma. Akizungumza na www.ubalozinirespect.blogspot.com Dayna amesema, kwa kweli nikitendo cha kikatili na cha kinyama ambacho serikali hawastahili kukipuuza. "Nimesikitishwa sana na taarifa za mauaji ya kinyama yaliyotokea mjini Dodoma, kwakweli inahudhunisha sana na haistahili kufumbia macho kwani hatujui lijalo na hii itawaweka wapi wanafunzi wengine? je watakuwa katika hali gani ya kimasomo. Naiomba serikali sheria ifwate mkondo wake kwa wahusika ili kutoa fundisho kwa watu wengine". Ivi karibuni kulitokea na tukio la mauaji ya kinyama ya mwanafunzi Lidya Leo Mzima wa chuo cha St Johnn mjii Dodoma pembezoni mwa choo hicho.tukio ambalo limeleta hofu na simanzi kubwa kwa wanafunzi wa maeneo hayo

Post a Comment

أحدث أقدم