Kweli waswahili ni noma aisee,
hii hekaheka ya leo january 29 2013 inahusu jamaa mmoja Ukonga Dar es
salaam ambae uume wake umesimama toka afanye mapenzi na mke wa mtu, yani
inaaminika mume mtu ndio kaamua kumfanyia hivyo kama kumkomesha
kutembea na wake za watu, isikilize hii stori hapo chini ambapo dada wa
huyo kaka alievimba ndio anaongea
Credit:- http://millardayo.com/
Post a Comment