Kinana na Sekretarieti yote ya CCM waenda Kigoma kwa Treni

Kinana, Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi katika stesheni ya Dar es salaam kabla ya kupanda treni mjini Dar es salaam kwenda Kigoma leo.
Katibu Mkuu Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma.
Katibu Mkuu wa CCM Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es salaam jioni hii.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
WanaCCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post