PICHA: HII NDIYO VIDEO YA NGOMA MPYA YA MWANA FA KUTENGENEZWA HAPA KUFANYIWA EDITING NCHINI SOUTH AFRICAN

Siku za hivi karibuni baada ya Mwana FA kufunguka katika mtandao na kusema kwamba anatarajia kwenda nchini South African kufanya video wa wimbo wake mpya ambao ameshirikisha band kongwe inayofahamika kwa jina la Kilimanjaro Band na Domokaya,Mandojo.
Sasa leo mchana chini ya director Karabani pamoja na Mwana FA walikuwa wakifanya shooting wa wimbo huo mpya ambao soon mwana FA anatarajia kuipelekea video hiyo nchini South Africa kwa ajili ya editing kama ilivyoripotiwa na watu wa God Father ambao watahusika katika kuifanyia editing video hiyo mpya.



Mwana FA,Bill na Domokaya
Mandojo
Domokaya   

Post a Comment

Previous Post Next Post