PICHA 5 ZA GARI JIPYA ALILONUNUA MWASITI ALMAS


Hii sio gari yake ya kwanza, ametumia miezi kama mitano kukusanya milioni 16 za kuagiza hili gari Japan, kazi yake ya muziki imechangia kwa asilimia 100 kupatikana kwa pesa ya kununua hili gari.
.
Mwasiti pia kwenye hii Exclusive interview ametoa siri kwamba kwenye miezi minne ijayo Mungu akijalia atahamia kwenye nyumba yake ya vyumba vitano iliyoko Mbezi Luis Dar es salaam ambako ndio Profesa J pia alikojenga, mafanikio yote haya yanatokana na ajira yake ya muziki akiwa ni binti wa miaka 27.
.
.
Mwasiti hakupenda hili swala liingie kwenye media lakini amekubali baada ya kumsisitizia,unaweza kumsikiliza hapa chini akifunguka zaidi.


Post a Comment

Previous Post Next Post