Sherehe za ushindi wa Super Bowl Parade Jijini Baltimore Maryland!


Sherehe ya Parade ya Super Bowl kwa timu ya Baltimore Ravens inayoendelea Asubuhi ya leo hii Feb 5, mida ya saa 10:45 Asubuhi ndani ya Jiji la Baltimore,  mashabiki kutoka sehemu mbali mbali ya Maryland Washington DC pamoja na Virginia waliokuja kuona shangwe hoi hoi na vifijo kwa furaha hizo za ushindi walioshinda timu ya Ravens.

Timu ya Baltimore Ravens Siku ya Jumapili Feb 3, 2013 ilifanikia kubamiza timu ya San Francisco 49ers 34 - 31 ndani ya jiji la New Orlenans na kuifanya timu hiyo kuibuka mshindi wa 2013 Super Bowl XLVII



Ulizi wa nguvu Jijini Baltimore Maryland kwaajili ya usalama na amani walioweza kuimarisha ndani ya jiji hilo


Mashabiki wakia ndani ya Uwanja wa M&T Bank Stadium wakisubiri Mwari wa Super Bowl XLVII


Wapenzi waliomiminika ndani ya uwanja wa  Baltimore Ravens wakisubiri kwa hamu usindi uliochukulia  ndani ya jiji la New Orlenans wiki iliopita kwa  kubamiza timu ya San Francisco 49ers 34


City Hall ndani ya Baltimore habari ndio hiyo kibaridi kama kawaida cha hapa na pale lakini watu bado wanazidi kumiminika na kufa kwa ajili ya sherehe ya Parade ndani ya jiji
Sehemu nzuri waliowahi kwa wale waliokuja mapema kuona mpango mzima wa Parade  Super Bowl Parade Jijini Baltimore Maryland!

Mashabiki tayari wamejipanga ndani ya Jiji la Baltimore kujianda rasmi kwa Sherehe ya Parade ya usindi wa Super Bowl kwa Baltimore Ravens leo hii mida ya saa 10:45 Asubuhi .


Taswira ya muonikano wa uwanja wa timu ya Baltimore Ravens uliomiminika mamia ya mashabiki waliokwenda kwenye sherehe za ushindi wa  Super Bowl Parade Jijini Baltimore Maryland!


Mashabiki ndani ya tayari uwanja wa  Baltimore Ravens wamejipanga na kujianda rasmi kwa Sherehe ya Parade ya usindi wa Super Bowl kwa Baltimore Ravens


Mashabiki wa Baltimore Ravens waliojikosanya Njia ya Baltimore City Hall kwaajili ya Super Bowl Parade Jijini Baltimore Maryland!

Post a Comment

Previous Post Next Post