Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiteta na
Kufurahia Jambo na Mbunge wa Ludewa-CCM, Deo Filikunjombe Viwanja Vya
Bunge Mjini Dodoma LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza
na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Aprili 17, 2013.Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ali
Abeid.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment