Redd's
Miss Tabata 2013,Doris Molel akipunga mkono kwa mashabiki wake muda
mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha
Tabata,Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata
jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni
Mshindi wa Pili wa shindano hilo,Upendo Lema (kulia) pamoja na Mshindi
wa Tatu,Rachel Mushi.
Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake,Noella Michael (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013.
Kumi Bora.
Warembo wa Tabata wakionyesha shoo yao ya ufunguzi.
Warembo wa Redd's Miss Tabata wakionyesha vipaji vyao vya kuyarudi magoma
Shangwe zilitawala wakati wa kutangazwa mshindi.
Warembo waliomaliza muda wao wa kushika mataji vya vitongoji,Kulia ni Noella Michael (Tabata) na Flaviana (Kurasini).
Wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania wakijadiliana jambo.
Majaji wakifanalaizi mambo.
Wadau mbali mbali walikuwepo kwenye onyesho hilo usiku huo.Picha zote na Libeneke la othmanmichuzi.blogspot.com
إرسال تعليق