Kama
unavyoona katika picha ya kamera ya Mo Blog hivi ndivyo jina la uwanja
wa kimataifa wa jiji la Dar es Salaam linavyosomeka nyakati za usiku.
Hatuna uhakika ni jina la nani na vile vile hatujui wageni wanaoingia jijini hapa kwa mara ya kwanza watauitaje.
Swali la msingi ni kwamba hatuwezi kutengeneza taa za kukamilisha jina hilo au sio muhimu au hatujaona?
Haya sisi tunaishia hapa lakini mamlaka husika ni aje….?
Post a Comment