KILI MUSIC TOUR 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA HIVI SASA LIVE!


 Jukwaa liko tayari kwa Show Babkubwa itakayoangushwa na Wasanii mbali mbali waliopo kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013 ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma hivi sasa.ambapo leo hii ni sherehe ya wakazi wa Dodoma Kiburudani.Picha:- othmanmichuzi.blogspot.com
 Dj akiwa tayari tayari kwa kuangusha Bonge moja la Burudani.
 Mabaunsa wakiwa tayari washajipanga kwa kazi moja.
 Mlangoni mambo yako namna hii,kama huna tiketi inakula kwako.hata hivyo kiingilio ni buku 2 tu (elfu mbili ya kitanzania)
 Hii ni Foleni ya Kuingia uwanjani hivi Sasa.
 Sehemu ya kukatia tiketi nako mambo yapo namna hii,yaani ni full Kikwetu kwetu.....!!
 Wako kwenye foleni ya kuingia.
 Hata hawa jamaa pia wako hii ni katika sehemu ya kuhakikisha ulinzi umehimarika.
 Wazee wa East Afrikan TV wakiwa kamili kamili Uwanjani hapa.
 Kamera Man wa EATV mzigoni
 Wazee wa kazi.
 "Asie na Tiketi asisogee hapa..."
 Wakazi wa Dodoma wakiwa wamejitokeza kwa Wingi ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Picha/Habari na:- othmanmichuzi.blogspot.com

Post a Comment

Previous Post Next Post