Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini
Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki
yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado
haijakaa sawa. Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika
salama Tanzania.
"tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi changu Albert
Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea, asanteni na endeleeni
kuniombea, hali yangu haijawa nzuri zaidi. asanteni alisema M2theP
إرسال تعليق