Jana Usiku Katika Show ya Big Brother Africa Mwakilishi wa Kenya Huddah
Monroe na Mwakilishi wa Uganda Denzel Walitolewa Katika Jumba Hilo Baada
ya kupata kura Chache zilizopigwa na nchi tofauti...
Wakati huo huo watanzania Wawili walioko katika jumba hilo wanaonekana kufanya vizuri katika jumba hilo huku wakionekana kupendwa na washiriki wote ndani ya jumba hilo...leo washiriki wote watapiga kuru kuchagua washiriki watakao toka week ijayo ..

Post a Comment