Ndani ya pub hiyo, madenti hao walianza kwa staili ya kupiga pombe kabla ya michezo ya kifusika kuanza...
Pombe ilipowakolea, madenti hao waligawana, kila mtu mtu na wake na kuanza kubadilishana mate na michezo mingine ya michafu...
Hali hiyo ilizua taflani kubwa kwa wananchi waliokuwa eneo hilo huku wengine wakionekana kutoamini macho yao kwa vitendo vilivyokuwa vikitendwa na madenti hao.
Post a Comment