Mrisho Mpoto amenunua gari jipya na la kifahari? Ni ngumu kuwa
na jibu sahihi kwa sasa lakini hivyo ndivyo inavyoonekana kutokana na
picha aliyoiweka Mwana FA kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha
Mjomba akiwa pembeni ya gari aina ya Toyota Prado New Model ya rangi
nyeusi. “Unaleta mchezo na Mjomba sio,” ameandika FA kwenye picha hiyo.
Tatizo ni kuwa pamoja na kuwa na gari jipya, Mjomba bado havai viatu!
Post a Comment