
Zikiwa zimebaki siku
chache tu tusherehekee miaka 50 ya muungano wasanii wa muziki wameungana
na kutengeneza wimbo wa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo.
Wimbo huu umewakutanisha wasanii wa nyimbo za Injili, Taarab na Bongo
Flava. Wimbo umeandikwa na Ditto na Amini na kurekodiwa kwenye studio za
Surround Sounds. Na hii ni video Teaser ya wimbo huo utaotoka siku za
hivi karibuni.
Post a Comment