UONGOZI wa Simba umekubali kumuongezea mshahara
mshambuliaji wake Mrundi, Amissi Tambwe, anayetishia kuihama timu hiyo
kama maslahi yake hayataboreshwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara
lakini ukasema itabidi awasubiri viongozi wapya.
Michael Wambura.
Mrundi huyo hivi karibuni alilalamikia mshahara mdogo anaolipwa ambao
hauendani na uwezo wake mkubwa wa kupachika mabao kwenye timu hiyo huku
akidai aongezewe ufikie ule wa kiungo mshambuliaji wa SOMA ZAIDI HAPA
إرسال تعليق