Clouds FM Dar es salaam
Kwa mkazi yoyote wa Kigogo na Mburahati mpaka mabibo Dar es salaam
ukimuuliza kuhusu vijana wanaojiita Panya Road na wanachokifanya kule
atakupa majibu sahihi kuhusu kikundi hiki ambacho kinasemekena ni cha
vijana wenye umri usiozidi miaka 20 wakiwa zaidi ya watu 50 ambao
wanaendeleza vitendo vya kihalifu.
Ungana na Gea Habibu kwenye hekaheka ya CloudsFM kwa kubonyeza play
hapa chini ili akusimulie kilichotokea jana wakati wa vurugu hizo.
Post a Comment