JENNIFER LAWRENCE IS THE SEXIEST WOMAN IN THE WORLD - FHM

86th Annual Academy Awards - Arrivals
Jarida maarufu la FHM, hivi karibuni limetoa orodha ya wanawake linalowaona kuwa Sexiest Women In The World. Unaweza kuiona orodha kamili hapa. Katika orodha hiyo, muigizaji wa filamu, Jennifer Lawrence ndiye namba moja. Jennifer au J.Law kama wanavyomuita mashabiki wake, hivi karibuni alichuana vikali katika kuwania tuzo ya Oscar na Lupita Nyong’o katika kipengele cha Best Supporting Female Actress. Kama uliona filamu ya American Hustle utakuwa uliona uigizaji wake.
Kwa miaka miwili au mitatu mfululizo Jennifer amekuwa akianguka katika Red Carpet kutokana na kujitega na magauni anayokuwa ameyavaa.

Post a Comment

Previous Post Next Post