LORI LAZIBA BARABARA MIKUMIN NA KUKALISHA WATU ZAIDI YA MASAA MANNE NDANI YA HIFADHI HIYO.

 Shughuli ya kuliondoa Lori hilo barabarani ikiwa inaendelea ili kupisha watu wapate kupita
 Baadhi ya watu wakiwa wametoka katika vyombo vyao vya usafiri wakingoja Lori liondolewe ili waendelee na safari

 Hivi sasa Mabasi na magari mbalimbali sasa yanaendelea na safari kama kawaida
 Picha na Morogoro yetu Blog

Post a Comment

أحدث أقدم