Picha/Video: Diamond afagia tuzo za Kili, achukua saba, Fid Q na Weusi watamba kwenye hip hop

Diamond Platnumz amethibitisha kuwa ndiye msanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania baada ya usiku wa Jumamosi kunyakua vipengele vyote zote saba alivyokuwa ametajwa kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro, KTMA.
IMG_9419 Ommy Dimpoz akiongea kwa niaba ya Diamond Platnumz
Muimbaji huyo aliyekuwa ameambatana na mchumba wake Wema Sepetu amechukua tuzo ya wimbo bora wa mwaka, wimbo bora wa afro pop na video bora ya mwaka kwa wimbo wake ‘My Number On’e pamoja na Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya, Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki na Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya.


IMG_9370 Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kulia) akimkabidhi tuzo Diamond, kushoto ni producer wa My Number One, Sheddy Clever
IMG_9164 Wema akimkumbatia Diamond
IMG_9169
Msanii mwingine aliyeshangaliwa zaidi katika usiku wa tuzo hizo ni Fid Q aliyenyakua tuzo mbili ambazo ni Msanii Bora wa Hip Hop na Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop.
IMG_9305 Bonnie Luv akimkabidhi tuzo Fid Q
IMG_9307
IMG_9219 Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu akimkabidhi Fid Q tuzo
Nalo kundi la Weusi limeibuka na tuzo mbili, Wimbo bora wa Hip Hop (Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako) na Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya. IMG_9212 Weusi wakipokea tuzo

IMG_9179
IMG_9188 Vanessa Mdee akimbusu Lulu baada ya kukabidhiwa tuzo ya wimbo bora wa R&B
IMG_9193
IMG_9234 Jose Chameleone akipokea tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki
IMG_9244
IMG_9067 Wasanii wa Kenya, Amani na Wyre wakimkabidhi tuzo Luiza Mbutu
IMG_9074
IMG_9018 Isha Ramadhan akipokea tuzo

IMG_9084
IMG_9101 IMG_9406
Wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo ni pamoja na Mwana FA, Weusi, Madee, Vanessa Mdee, Meninah, Angel, Makomando, Msami, Twanga Pepeta, Extra Bongo na wengine.
Tazama orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.
Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond

Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee

Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond

Muimbaji bora wa kike taarab
Isha Ramadhan

Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf

Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara

Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu

Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q

Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer

Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson

Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani

Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q

Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond

Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band

Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarab

Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Kizazi kipya
Man Walter

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Bendi
Amoroso

Mtunzi Bora wa Mwaka – Taarab
Mzee Yusuf

Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi
Christian Bella

Wimbo bora wa Kiswahili – Bendi
Ushamba Mzigo – Mashujaa Band

Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe – Dabo

Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Afro Pop
Number One – Diamond

Wimbo bora wa Taarab
Wasiwasi Wako – Mzee Yusuf

Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako

Wimbo Bora wa R&B
Closer – Vanessa Mdee

Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond

Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai – Chibwa f/ Juru

Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya – Lady Jaydee

Hall of FAME Award
Hassan Rehani Bichuka
Masoud Masoud – TBC Taifa

Post a Comment

أحدث أقدم