SAUTI SOL wamdai ‘President UHURU KENYATA’ kwenye Twitter.

2559c14b174588af3f5b13a3b98e6562_M


Wasanii kutoka kenya ambao siku chache zilizopita moja ya gideo yao ilipigwa ban kuchezwa katika Television za nchi hiyo kwa madai ina picha zisizotakiwa. Jana katika ukurasa wao wa mtandao wa kijamii twitter waliandika
“Dear Mr President. It has been 6 months since our performance at Kenya@50! Please pay us our dues. @UKenyatta #kenyaat50″.
Hii ni kutokana na wasanii wote waliofanya shughuli zao za kisanii katika maadhimisho hayo waliahidiwa malipo yao ambayo yapata miezi 6 sasa wanazungushwa.
keny
Hii ndio imesukuma kundi hilo kushindwa kuvumilia na kuamua kumdai Rais huyo mtandaoni.
kenya

Post a Comment

Previous Post Next Post