Baada ya ahadi nyingi hatimaye AY ameweka mezani tarehe rasmi ya
kuachia video ya wimbo wake aliomshirikisha Sean Kingston na Ms
Triniti, itatoka Jumatatu Nov.24.
“Hello, It’s Me Again… Ha Ha Ha, Unaweza Kusahau Kila Kazi Ambayo
Nimefanya Ili Tuanze UPPPPYAHH Na Hii?! S/O To @seankingston And Ms
Triniti For Blessing This One, Some People Said This Will Stay On
Airwaves For Sometime, And It Will Go Down As A Classic… I Believe Them
Because That Was The Whole Idea.
Nasema Asante… Asante Sana.
The Release Date: 24.11.2014 MONDAY” AY ameandika kwenye mitandao ya kijamii.

Post a Comment