
Picha
mbalimbali juu na chini zikionyesha kikosi cha zima moto manispaa ya
Singida,wakijitahidi kuzima moto uliosababishwa na kazi ya kuchomomelea
basi la kampuni ya Hajis ya mkoani Singida.Viti na sehemu kubwa ya
ndani, imeungua vibaya.Tukio hilo limwetokea katika gereji ya kampuni ya
Hajis iliyopo eneo la Utemini mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).



إرسال تعليق