Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother Africa:
Hotshots, Irene Laveda ambaye tayari amerejea Tanzania baada ya kutoka
wiki chache zilizopita, amezitaja sifa za boyfriend amtakaye.
![laveda 4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/laveda-4.jpg)
Akizungumza kwenye mahojiano na Global online TV, Laveda amezitaja
sifa ambazo mwanaume anayeweza kuwa boyfriend wake anatakiwa awe nazo.
“Boyfriend nayetaka kwanza lazima ajitambue ajue anachokitaka, anisapoti mimi nachokifanya anielewe aielewe fani yangu, nikisema kunisapoti namaanisha emotionally, mentally nikiwa nafanya kitu aelewe, and also you know awe very, awe very [kicheko] yeah loving charming handsome [kicheko] loving charming handsome tall, [kicheko] tall handsome guy.” Alisema Laveda

Katika hatua nyingine Laveda ametumia nafasi hiyo kukanusha kuhusu skendo ya kujichua kwenye shindano hilo.
“Sikuwahi kufanya mapenzi either na mimi mwenyewe (kujichua) wala
na watu wengine. Manake kwanza hapa mnachoongelea ni kitu ambacho
kimesikika ila hatujaona, sasa mimi niko hapa wiki ngapi sijui hizo
video zinatafutwa, kama kweli sidhani kama Big Brother atazuia kuonesha
hizo clips kama nchi inasisitiza no tunahitaji kuziona hizi clips huyu
mwananchi wetu alienda kushiriki pale tutamdiscipline kama kweli
alifanya whatever.
So until now hizo clips sijui ziko wapi mimi mwenyewe
sijafanya so I don’t know what is going on, but it’s up to you mwisho
wa siku you judge on something ulichokiona wewe mwenyewe…na kumbuka ni
mashindano, wale waliokuwa wananiongelea kuhusu mimi ndani ya nyumba
wanatoka nchi tofauti na walishaniona mimi ni tishio kutoka siku ya
kwanza.”
Source: Global TV Online
إرسال تعليق