MHOLANZI mmoja
amesababisha hasarakubwa kwa majirani zake baada ya staili aliyotaka
kuitumia kuomba mkono wa ndoa
kuvurugika.
Mholanzi huyo
alipanga kuomba mkono wa ndoa kwa kuning’inia katika winchi.
Imeelezwa kuwa
winchi hiyo ya katika gari haikuwa imeshikizwa salama barabarani wakati
ilipojipindua na kupiga nyumba ya jirani na kusababisha nyumba nyingine 2 watu
wake kuokolewa.
Lengo la
kujishusha mbele ya dirisha la chumba cha mchumba liligeuka dhahma lakini mke pamoja na shida iliyotokea amesema ndio na sasa wapo Paris kufurahia
makubaliano yao.
Imeelezwa kuwa hasara kubwa zaidi
ilitokea wakati wakijaribu kuiweka sawa winchi hiyo.
Wakazi wa majengo hayo waliondolewa lakini hakuna mtu ambaye ameumia katika shida hiyo.
Wakazi wa majengo hayo waliondolewa lakini hakuna mtu ambaye ameumia katika shida hiyo.
إرسال تعليق