Stori: Imelda Mtema VIDEO
Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na
kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina
lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na
mwanahabari wetu, Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake
wakome
“Kwa kweli inauma sana mtu kutumia jina langu kwenye mitandao halafu halitumii kwa uzuri, kazi ni kuomba pesa kwa watu mbalimbali, jamani mimi situmii mtandao wa Facebook kabisa kwa hiyo watu wawe makini,” alisema Masogange.
Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’.
kwa sababu wanamjengea hisia tofauti kwa watu wakati yeye hanufaiki na chochote.“Kwa kweli inauma sana mtu kutumia jina langu kwenye mitandao halafu halitumii kwa uzuri, kazi ni kuomba pesa kwa watu mbalimbali, jamani mimi situmii mtandao wa Facebook kabisa kwa hiyo watu wawe makini,” alisema Masogange.
إرسال تعليق