Dampo lawaathiri, wahara damu, wakohoa Huokota mipira ya kiume, bomba za sindano.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Uchunguzi wa NIPASHE Jumamosi katika eneo hilo umeshuhudia taka hizo zikiwa ni zile zinazozalishwa kutoka viwandani, majumbani na hospitalini. Hadi sasa walioathirika na taka hizo ni watoto ambao wameugua ugonjwa wa kuharisha damu na wengine kikohozi kisichoisha kutokana na kuvuta hewa chafu.
CHANZO:
NIPASHE

Post a Comment