Fidel Odinga Mtoto Mkubwa wa kiume wa
Mwanasiasa maarufu nchini kenya Raila Odinga amekutwa amefariki ndani ya
chumba chake alimokuwa amelala leo alfajiri, Police nchini kenya muda
huu wanaendelea na uchunguzi mkali kubaini chanzo kama kinahusiana na
mambo ya siasa, Hivi karibuni Raila Odinga amekuwa akiibana na
kuishurtumu Serikali ya Kenyata kwa kushindwa kuwalinda wakenya hasa
kutokana na mauaji ya Al shabab, Pia Wapinzani kupinga muswada ambao
tayari ni sheria ya Ugaidi nchini kenya ambao Raila anaona hauwalindi
wakenya.
From Kenya-Today blog:
Fidel died at Nairobi Hospital where he was rushed by his wife last night. It is not yet known what killed hill.
Fidel had lunch with his dad on Sunday at Raila’s his Karen home. Raila told The Star this morning he was fine.
He then went out in the evening with
some friends and came home at around 1am, he is said to have had
breathing problems and was rushed in an ambulance to Nairobi Hospital
where he died.
Raila confirmed the death of his son, he is at the scene
إرسال تعليق