Mwambie
MUNGU shida na malengo yako sasa nae atafanya sawa sawa na
mapenzi yake,but ufanye mwaka huu kuwa mwaka wa kuwajibika kwa
Kufanya kazi zaidi ya miaka yote iliyopita, hakika kupitia
bidii zako MUNGU atakufungulia njia,lakini pia dumu sana ktk
naombi maana ktk juhudi zako kamwe shetani hataacha
kujitukuza,lakini kupitia MUNGU yote mema yanawezekana
nawapenda sana mmwah
Post a Comment