Ommy Dimpoz Aambulia Matusi ni Baada ya Kupost Tangazo la CCM

Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa...... Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.
Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.

Baadhi ya COMMENTS kutoka kwa Mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo hizi Hapa:
lukasndayase
omindipos ccm haifai mwanangu ww posti chadema mkuu

george_moses
Wewe brother umechanganyikiwa kweli rafiki yangu toa hilo picha weka hata katuni


mwanja60
Mmeisha anza kuhongwa na mafisad mulizen MALOW

mikidadiyusuph
happo umeyumba chama cha.wez hicho watz hatukitaki

kileju
umeishiwa mipango sasa unaanza kuji komba komba kama maisha yamekushinda rudi shamba ukafuge ngedere boya wwe

doreen_don
Supporting th dying horse!!!

Post a Comment

Previous Post Next Post