Msanii Saraha ametoa
wimbo wake mpya – YERERE! wimbo huu umechanganya style ya kiulaya na
style ya kiafrika. Saraha anasema amechanganya kiswidish na kiswahili
ili kuleta fleva na hapo wote wanakaribiana! Producer aliyetengeneza
wimbo huu anaitwa Jacob Czitrom, ni swedish house producer.
HII HAPA>>> https://www.youtube.com/watch?v=tvOJQpf9-rs NI LINK YA VIDEO YA WIMBO HUU YERERE.
Post a Comment