Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania wakiwasili Ikulu jijini Dar
es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 kuonana na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete aliyewakaribisha ili kuwasikiliaza matatizo yao na kujadiliana
nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye
ulemavu wa ngozi nchini
Rais Kikwete akisalimiana na Viongozi
wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na
kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu
wenye ulemavu wa ngozi nchini
Dr Possy akimsomea Rais Kikwete Mapendekezo ya Viongozi
wa Chama Cha Albino Tanzania juu ya namna ya kupambana na kukomesha
ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini
Rais Kikwete akiongea na Viongozi

Rais Kikwete akipokea mapendezo kutoka kwa Viongozi
wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na
kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu
wenye ulemavu wa ngozi nchini.Picha na IKULU
Post a Comment