Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Stephen Kebwe akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,
Hawa Ghasia akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Mbunge
wa Kilolo, Profesa Peter Msolla (kushoto) akiteta na Mbunge wa Rungwe
Magharibi, Profesa David Mwakyusa, Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 9, 2015.Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu
إرسال تعليق