Rais Jakaya Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uholanzi Mhe. Bert Koenders jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa
Uholanzi Mhe Mark Rutte jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania
waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The
Hague, Uholanzi, Jumatatu Juni 8, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa
Uholanzi Mhe Mark Rutte jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara
yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi
baada ya kuwasili The Hague Jumatatu Juni 8, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katikati wakati Waziri wa
Zanzibar Mhe Ramadhani akigonganisha glasi na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uholanzi Mhe. Mark Rutte jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.
Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mfalme Willem
Alexander katika kasri la Kifalme la Noordeinde jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Mahakama ya
Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia Alejandra Fernandes de
Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama hiyo jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa na
Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC Jaji Silvia
Alejandra Fernandes de Gurmendi alipotembelea makao makuu ya mahakama
hiyo jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kuongea na
Mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini
Uholanzi jijini The Hague Jumatatu Juni 8, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo
na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden
jijini the Hague, Uholanzi Jumatatu Juni 8, 2015.Picha na IKULU
إرسال تعليق