CCM waigaragaza UKAWA jimbo la Masasi,Mshindi huyu hapa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM Bw. Rashid Chuachua ameshinda kiti cha ubunge katika jimbo hilo kwa kura 16597 dhidi ya kura 14069 za mgombea wa upinzani katika uchaguzi uliofanyika jana baada ya kuahirishwa kutokana na kifo cha mgomba wa ukawa EMANUEL MAKAIDI kufariki dunia wakati wa uchaguzi mkuu

No comments:

Post a Comment