Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena.
Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine
SUA umethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe katika Wilaya ya
Nyamagana, Mwanza.
Katika taarifa iliyotolewa na Katibu tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa Mwanza, Yohana Sagenge amethibitisha kuwepo kwa ugonjwa huo ambao
unasababishwa na Virusu aina ya African Swine fever Virus ambapo madhara
yake ni makubwa na husababisha kifo kwa 100%. kwa wanyama hao.
Post a Comment