Uchambuzi Mfupi : "Huku Ni Kufanya Utapeli Na Afya Za Watanzania..!"
Ndugu zangu,
Akina Dr Mwaka wako wengi. Watu wetu wanateseka. Wanadhulumiwa pia kidogo walicho nacho. Aina hii ya utapeli inakomaa pia kwa vile matapeli hawa wana nguvu ya fedha. Wanajitangaza sana na hata wana uwo wa kununua vipindi kwenye televisheni na radio. Nyingi ya tiba wanazotangaza wana uwezo nazo ni abrakadabra tu. Mamlaka husika ziangalie kwa haraka namna ya kuwadhibiti. Na kuna hawa ' manabii wa siku za mwisho'. Ni janga. Wasicheleweshwe.
Maggid.(P.T)

No comments:

Post a Comment