Al haj Mfinanga na mkewe wawasihi Watanzania kudumisha upendo

Picture
Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa Kibaha Njuweni pamoja na mkeke Mama Mfinanga wamewaomba Watanzania kudumisha amani na upendo kwa kuvumiliana na kuondoa tofauti zetu za kidini na kisiasa kwa kuwa kwa kufanya hivyo ndipo Mwenyezi Mungu atakapoendelea kuijalia amani na baraka nchi ya Tanzania.

Mfinanga amesema kupendana huleta maendeleo kwa hivyo tuswali na kuheshimu mamlaka za Serikali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha na kusisitiza juu ya amani, upendo na utii.

--- Imewasilishwa na Christopher Mfinanga

Post a Comment

Previous Post Next Post