Rais
wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinda akilakiwa kwa shangwe
na Viongozi wa UWT mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Mwalimu Julius Nyerere jana Usiku ikiwa ni furaha za kuchaguliwa kwake
kuwa Rais wa Jukwaa la Bunge la SADC mjini Victoria Falls, Zimbabwe.
Rais
wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Anne Makinda akipokea shada la Maua
kutoka kwa Bi. Riziki Kingwande, Mkuu wa Idara ya Organisaztion ya UWT.
Katibu wa UWT Mhe. Amina Makilagi akisoma salam za Pongezi kwa niaba ya UWT.
Rais
wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinda akiwapongeza viongozi
wa UWT kwa mapokezi Makubwa waliyomfanyia.Picha na Owen Mwandumbya
إرسال تعليق