HitMaker wa Akadumba The True Boy Nay
Wamitego Amefunguka Kuhusu Wimbo wake Mpya ambao Amefanya na Msanii
Mkali Toka Nigeria Ambao umeshakamilika Audio yake na Sasa anahesabu
siku za Kufanya Video ya Wimbo huo ambao amesema utakuwa wa Kimataifa.
Akiongea
na Mtangazaji wa @MamboJamboRadio Arusha Hamis Abtway Maarufu Kama
@DjHaazu Katika Kipindi cha DUNDO kinachoruka Redioni Hapo Kila siku za
wiki Jumatatu hadi Ijumaa Kuanzia Saa Saba za Mchana hadi saa Kumi
Jioni, Nay amesema kuwa tayari Audio Imeshakamilika na kutokana na
Ukubwa wa Gharama Za Collabo hiyo ambayo Mpaka sasa amehesabu Shilingi
za Kitanzania Milioni 60 Amepanga Kwenda Kushut Video Hiyo South Africa
na kama haitakuwa hivyo Basi atamsafirisha Director Kelvin Bosco Toka
Kenya Hadi South Africa kufanya Video hiyo.
Katika
Mengi aliyoyazungumza Nay una haki ya kuyasikiliza yote hapa Chini
ambapo pia ameweka Wazi jinsi anavyofurahia Ndoa yake ambayo kwa imempa
Mtoto.
KUSIKILIZA INTERVIEW HIYO CLICK LINK HII:- NAY WA MITEGO ON DUNDO LA MAMBOJAMBO RADIO WITH @DJHAAZU
Post a Comment