Mkurugenzi
wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa
Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na
uhaba mkubwa wa mashuka.
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa mashuka.
Meneja
wa NHIF Mkoa wa Temeke akimjulia hali mgonjwa aliyelazwa hospitalini
hapo muda mfupi baada ya kukabidhi msaada wa mashuka.
Dk. Lekey kulia akifafanua jambo
Post a Comment